NA HERIETH FAUSTINE
MKALI wa muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘V Money’ na Juma Jux
‘Jux’, wamesema baada ya kila mmoja kukamilisha kazi zake ndipo watatoa
nyimbo zao za ushirikiano ambazo wamesharekodi.
Aliongeza kwamba, kutokana na kila mmoja kuwa na kazi zake nyingi,
hawataweza kufanya kazi ya pamoja hadi kila mmoja atakapomaliza, maana
wazo hilo walikuwa nalo muda mrefu na wameshalifanyia kazi, ingawa
hawataki kuzitoa kwa sasa.
“Tumeshafanya nyimbo za pamoja nyingi, lakini hatutatoa kwa sasa
kutokana na kuwa na kolabo na wasanii wengi, naye kuwa na kazi zake
hivyo kila mtu akimaliza ‘project’ zake ndipo tutatoa nyimbo zetu za
ushirikiano,’’ alisema V Money.
Created by Gazeti la Mwananchi
Friday, 18 September 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment