NA HERIETH FAUSTINE
SHINDANO la Bongo Star Search (BSS) limefikia hatua ya kumi bora baada ya washiriki wengine wawili kuyaaga mashindano hayo.
Katika shindano hilo linalodhaminiwa na Salama Condom na kinywaji cha
Coca Cola, washiriki wawili walioaga mashindano hayo jana ni Chief
Agala kutokea Arusha na Amina Issa wa Mwanza.
Jaji Mkuu wa BSS, Ritha Paulsen, alisema washiriki wote wanaweza
kuimba, kucheza na kumiliki jukwaa na kilichobaki kwa sasa zitawekwa
namba kwenye magazeti za washiriki ili mashabiki wapige kura kuchagua
mshiriki wanayemtaka awe mshindi.
Created by Gazeti la Habari Leo
Monday, 21 September 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment