BAADA ya kufanya vizuri katika wimbo wa ‘Mfalme’ ulioimbwa na Hamis
Mwijuma ‘Mwana FA’ na George Mdemu ‘G Nako’, msanii Emanuel Simwinga
‘Izzo Busness’ amewakutanisha tena wasanii hao katika wimbo wake mpya
aliouita ‘Shemu Lake’.
“Nimeshafanya nyimbo za kuelimisha na kuhamasisha, lakini wimbo huu
utawashangaza wengi kwa maudhui yake ambayo nataka iwe ‘surprise’ kwa
mashabiki,” alisema Izzo Business.
Created by gazeti la Mtanzania
Thursday, 24 September 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment