Friday, 18 September 2015

Tagged Under:

Vanessa, Jux kutoka pamoja muda ukifika

By: Unknown On: 07:14
  • Share The Gag

  • MKALI wa muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘V Money’ na Juma Jux ‘Jux’, wamesema baada ya kila mmoja kukamilisha kazi zake ndipo watatoa nyimbo zao za ushirikiano ambazo wamesharekodi.
    Aliongeza kwamba, kutokana na kila mmoja kuwa na kazi zake nyingi, hawataweza kufanya kazi ya pamoja hadi kila mmoja atakapomaliza, maana wazo hilo walikuwa nalo muda mrefu na wameshalifanyia kazi, ingawa hawataki kuzitoa kwa sasa.
    “Tumeshafanya nyimbo za pamoja nyingi, lakini hatutatoa kwa sasa kutokana na kuwa na kolabo na wasanii wengi, naye kuwa na kazi zake hivyo kila mtu akimaliza ‘project’ zake ndipo tutatoa nyimbo zetu za ushirikiano,’’ alisema V Money

    Created by Gazeti la Mwananchi


    0 comments:

    Post a Comment