Wapiganaji wa kundi
la Al-Shabab nchini Somali, wameshambulia kambi yenye chuo cha
wanajeshi kusini mwa nchi na kuwauwa wanajeshi 13.
Wanajeshi wa
Somalia walipambana na washambuliaji hao kwa saa tatu, na wameweza
kuilinda kambi,karibu na mji wa Kismayo, wenye bandari.Wanajeshi 7 walijeruhiwa na wapiganaji 10 waliuwawa.
0 comments:
Post a Comment