Daraja
la kisasa la Kigamboni linalounganisha eneo la Kigambonina upande wa
Kurasini likikatisha bahari ya Hindi. Rais Dkt. John Pombe Magufuli
anatarajiwa kulizindua rasmi daraja hilo leo Jumanne Aprili 19, 2016.
Akina mama na watoto wao wakilishangaa daraja hilo la kisasa
Barabara inayoelekea kwenye daraja hilo
Credit; Mpekuzi Blog
0 comments:
Post a Comment