Paul Makonda
akizungumza katika mkutano wa kampeni wa Mgombea mweza wa Urais kupitia
CCM Bi Samia Suluhu Hassan,mkoani Mwanza.
Makonda amesema kuwa hakuna
uchanguzi mwepesi na raisi kwa CCM kama wa mwaka huu
Kasema mwaka huu CCM inapambana na Vibaka,Wachochezi na Mafisadi waliokimbilia UKAWA.
Credit;Mpekuzi blog
Sunday, 11 October 2015
Tagged Under:
Paul Makonda: Uchaguzi wa Mwaka Huu ni Kati ya Waadilifu (CCM) na Vibaka ( Ukawa)
By:
Unknown
On: 07:53
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment