Croatia imeanza
kuwaekeza maelfu ya wahamiaji kwenda kwa mpaka na Slovenia baada ya
Hungary kufunga mpaka wake usiku wa manane siku ya ijumaa.
Serikali
ya Hungary ilisema kuwa haijapewa njia nyingine mbadala, kufuatia
kushindwa kwa muungano wa ulaya kulinda mipaka ya nje ya ulaya kutokana
na kile ilichokitaka kuwa wahamiaji haramu.Waziri wa mambo ya ndani wa Slovenia amesema kuwa wanatuma polisi zaidi kukabiliana na wahamiaji hao.
Created by BBC Swahili
0 comments:
Post a Comment