Diamond
Plutnumz ndiye msanii aliyekomba tuzo nyingi mwaka huu kwa kubeba 3
ambazo ni Video bora ya kucheza NANA, Msanii bora wa Afrika Mashariki na
msanii wa mwaka.
Vanessa Mdee amechukua tuzo ya msanii bora wa kike Africa Mashariki.
Ommy Dimpoz ameondoka na tuzo ya msanii bora anayechipukia.
Kuona Orodha Kamili ya Washindi <<<< Ingia Hapa>>>
Kuona Orodha Kamili ya Washindi <<<< Ingia Hapa>>>
Credit; Mpekuzi blog
0 comments:
Post a Comment