Mwangalie vizuri mzungu na majina yake. Picha ya pembeni kulia ni kitu cheusi na siyo sura ya mtu
Angalia Jina na hiyo picha. Kwa kuiangalia sidhani kama ni picha ya binadamu
Tazama majina na picha
Hizi picha mbili za kulia sio za binadamu. Moja ni kama ya mlango, nyingine ni weusi tu unaonekana
Credit,Mpekuzi blog
0 comments:
Post a Comment