Abiria wa ndege moja iliyokuwa ikisafiri kutoka Abuja kwenda Ilorin Nigeria walijikuta wakipatwa na mshangao baada ya mvua kunyesha na ndege kuanza kuvuja.
Abiria mmoja aliamua kurekodi tukio hilo na kutuma kwa moja ya vyombo vya habari na kusambazwa katika mitandao mbalimbali.
Video iko hapa mtu wangu…
Credit;Millard Ayo
0 comments:
Post a Comment