Saturday, 16 January 2016

Tagged Under:

Tazama Hapa Matokeo ya Kidato cha Pili 2015/16

By: Unknown On: 00:06
  • Share The Gag

  • Baraza la mitiani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha 2 kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana ambapo wanafunzi 324,068 sawa na 89% kati ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu.
    Credit; Mpekuzi blog

    0 comments:

    Post a Comment