Aliyekuwa
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa
(katikati) akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake Mwenge
jijini Dar es salaam leo, wakati wa alipowapongeza Wastahiki Meya wa
Manispaa za Ilala na Kinondoni. Kulia ni Meya wa Manispaa ya Kinondini,
Boniface Jacob na Kushoto ni Meya wa Manispaa ya Ilala, Charles Kuyeko.
Meya
wa Manispaa ya Ilala, Charles Kuyeko (kushoto) akizungumza akizungumza
na waandishi wa habari, wakati wa Mkutano uliofanyika Ofisini kwa
aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
walipokwenda kuzungumza nae mara baada ya kushinda nafasi hizo. Kulia ni
Meya wa Manispaa ya Kinondini, Boniface Jacob.
Aliekuwa
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwa
kwenye picha ya pamoja na Wastahiki Meya wa Manispaa za Ilala na
Kinondoni pamoja na Manaibu wao, mara baada ya kuzungumza na waandishi
wa habari.
Credit; Mpekuzi blog
0 comments:
Post a Comment