Baada taarifa kusambaa kwe ye mitandao ya kijamii ikisemekana Diamond
Platnumz kuwa ndio anayehakiki kazi za wanamuziki wa Bongo ili ziweze
kuchezwa MTV Base, sasa mwanamuziki Alikiba amefunguka hivi.
“Nitawaambia ukweli ambao unaohusu that it, kama ni kweli watakuwa
wanakosea na sidhani kama ni sawa coz watakuwa hawapo fair.”Alikiba
“Hajabeba talent ya kila mtu, kila mtu ana talent yake, ana haki ya
kuonyesha kazi yake coz kila mtu anafanya business ya muziki sasa hivi
sio mtu anafanya masihara, na unapomuona mtu anafanya video yake
anagharamikia so haipendezi na sidhani kama ni kweli.” Alikiba
Cloudsfm.com
Saturday, 16 January 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment