Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amezidi kuziandika headline katika ulimwengu wa
sanaa baada ya usiku wa leo kuzinyakua tuzo mbili za Hipipo Awards zilizofanyika Uganda.
Ushindi alioupata ni Nyimbo bora Afrika Mashariki na Video bora Afrika Mashariki ambazo zote ni kupitia wimbo wa Nana.
Baada ya ushindi kupitia account yake ya Instagram Diamond aliandika maneno haya
“Wow! Realy wanna Thank GOD for keep blessing the innocent kid… also
wana thank all Media and My Loyal fans for the Big love.. Two Awards
tonight on @HipipoAwardsUGANDA…EAST AFRICA SUPER HIT#NANA and EAST
AFRICA BEST VIDEO#NANA many thanks to my brother@2niteflavour
@i_am_godfather and all Behind this Hit!!!… thanks alot @HIPIPOAwards for keep supporting the real African talent!
(Wadau kijana wenu nimefanikiwa kushinda tunzo mbili Usiku wa leo kama
NYIMBO BORA AFRICA MASHARIKI#NANA na VIDEO BORA AFRICA MASHARIKI #NANA
nawashkuru sana kwa kura na support zote mnazoendelea kunipa…..
tafadhali nisaidieni kuhesabu ni tunzo ngapi tumechkua tangu Mwaka 2016
uanze? ) shukran sana“.
Millard Ayo.com
Sunday, 31 January 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment