Zaidi ya mapadre na watawa elfu moja
waliopewa wadhifa wa kutakasa na kutoa msamaha wa dhambi ambazo huwa ni
baba mtakatifu pekee anayetoa msamaha,wameanza hija ya kueneza neno la
Mungu kwa kutembelea maeneo mbalimbali ulimwenguni ikiwa ni miongoni mwa
malengo yaliyowekwa katika kuadhimisha mwaka wa neema wa kanisa.
Wamisionari
hao waliyochaguliwa na Papa Francis wamepewa nadhiri ya kwenda mbali na
katika eneo kubwa zaidi,na miongoni mwa mipango iliyopo ni kufika
Australia kwa usafiri wa gari na ziara nyingine ni katika ya kijamii ya
Canada .Chanzo BBC Swahili.
0 comments:
Post a Comment