Shirika la kijasusi
nchini Marekani FBI, miezi miwili baada ya watu kumi na wanne kuuwawa
mjini Califonia na wanandoa wa kiislamu wenye itikadi kali, wachunguzi
hawajabaini ushahidi wowote katika simu iliyopatika kutoka kwa mmoja wa
wauaji.
Mkurugenzi wa shirirka hilo la kijasusi,James Comey
amekuwa akitoa ushaidi katika kamati ya upelelezi ya seneti ya
Marekani,kufuatia kupigwa kwa risasi kwa wingi San Bernardino mwezi
desemba.Bwana Comey anasema kuwa mawasiliano yao yalikuwa ni ya siri na waliweza kutumia tekinolojia ya hali ya juu kuvuruga mitambo, hivyo kuathiri sheria kuweza kuchukua mkondo wake.
Sheria ya kuondoa ulinzi wa mawasiliano hayo bado unajadiliwa mjini Washngton ili kukabiliana na mashambulizi yaliyotokea California.
Chanzo BBC Swahili.
0 comments:
Post a Comment