Maafisa wa magharibi mwa Nigeria
wanasema watu zaidi ya hamsini wameuwawa katika shambulio lililotokea
katika kambi ya watu waliokimbia makazi yao katika jimbo la
Borno.Wanawake wawili walirusha bomu ,na watatu alikamatwa na
polisi,hukuakikana kuhusika katika shambulio hilo kwa kudai kuwa wazazi
wake wako kwenye kambi hiyo hivyo haiwezekani kwa yeye kufanya kitendo
hicho
Zaidi ya watu milioni mbili wamelazimika kuyakimbia makaazi
yao kutokana na mashambulio ya kushtukiza katika kipindi cha miaka sita
iliyopita kulikosababisha na kundi la wanamgambo wa Boko Haram.Chanzo BBC Swahili.
0 comments:
Post a Comment