wakala wa utoaji misaada wametoa
onyo kuhusiana na majanga ya kibinadamu nchini Syria ambayo
yanasababishwa na mapigano yanayoendelea magharibi mwa mji wa Aleppo
unasababisha majanga.
baraza la kimataifa la shirika la msalaba
mwekundlinasema usambazaji wa maji katika mji huo umesimamishwa sasa ni
wiki mbili zimepita huku kituo cha pampu kikiwa kimeharibiwa.
wasambazaji wengine wa misaada wamesitisha huduma huku kukiwa na tatizo
la mafuta na umeme.Madaktari wa kujitolea wasio na mipaka wanasema hospitali zipatazo tatu zimeteketezwa na mashambulizi ya anga.
ICRC imesema misaada zaidi ya chakula,maji na madawa yanahitajika katika siku za usoni.
Chanzo BBC Swahili.
0 comments:
Post a Comment