Saturday, 20 February 2016

Tagged Under:

Polisi wasaka mshambuliaji Michigan

By: Unknown On: 22:32
  • Share The Gag
  • Polisi nchini Marekani wanamsaka mtu mwenye silaha ambaye amefyatua risasi na kuwaua watu kadha katika mji wa Kalamazoo, jiombo la Michigan.
    Vyombo vya habari nchini humo vinasema watu sita wameuawa.
    Watu wanne waliuawa katika mgahawa mmoja na wengine wawili katika duka la kuuza magari.
    Maafisa wanasema mwanamume huyo anazunguka eneo hilo akiwafyatulia risasi watu kiholela.
    Mashambulio hayo yanadaiwa kuwa na uhusiano na kisa cha awali cha ufyatuaji wa risasi katika maegesho ya magari, ambapo mwanamke mmoja alijeruhiwa vibaya.

    Chanzo BBC Swahili.

    0 comments:

    Post a Comment