Makao makuu ya
kanisa katoliki mjini Vatican yamefichua maelezo kuhusu kitabu kipya cha
papa Francis "the name of God is Mercy" jina la Mungu ni rehema,
kitakachochapishwa kote duniani kwa muda wa siku mbili zijazo.
Maandishi
ya kitabu hicho yanatokana na mahojiano kati ya papa na mwanahabari,
ambapo anaangazia mada ya rehema, na umuhimu wa kuwa na rehema kwa watu
waliotengwa katika jamii.Papa pia anaangazia jinsi ambavyo huwa anaomba msamaha wakati wa kutubu.
Chanzo BBC Swahili.
0 comments:
Post a Comment