Wednesday, 6 January 2016

Tagged Under:

Messi aing’arisha Barcelona

By: Unknown On: 22:28
  • Share The Gag
  • Lionel Messi
    Mshambuliaji w aklabu ya Barcelona Lionel Messi amekuwa shujaa baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Espanyol katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora michuano ya Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey uliopigwa katika Uwanja wa klabu hiyo wa Nou Camp.
    Katika ushindi wa mabao hayo manne wachezaji wengine walio iwezesha timu hiyo kushinda ni Gerard Pique na Neymar Da silva, wakati bao pekee la Espanyol likifungwa na Felipe Caicedo.

    Chanzo BBC Swahili.

    0 comments:

    Post a Comment