Thursday, 10 March 2016

Tagged Under:

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Keshawasili Jijini Mwanza Kwa Ajili ya Kikao cha Kumpata Mrithi wa Dr. Slaa

By: Unknown On: 21:46
  • Share The Gag
  • Mwenyekiti wa chama cha Demokrsaia na Maendeleo (CHADEMA) akiwasili uwanja wa ndege jijini Mwanza.kwaajili ya mkutano wa  baraza kuu CHADEMA  ambao utamtangaza  Katibu  mkuu wa chama hicho kuchukua mikoba ya Dr. Slaa

    Mwenyekiti Freeman Mbowe akisalimiana na viongozi mbalimbali wa CHADEMA mkoa wa Mwanza waliofika kumlaki uwanja wa ndege
    Mwenyekiti wa baraza la wazee akiwasili uwanja wa ndege mwanza
    Mwenyekiti wa chadema akiwasili hotel ya Gold Crest ambako mkutano wa baraza kuu chadema utafanyika.Kulia ni afisa habari wa chadema Tumaini Makene
    Makamu katibu chadema Mh Salum Mwalimu akimpokea mwenyekiti
     Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo akijadili jambo na makamu katibu
    Makamu katibu Mh Salum Mwalimu akimlaki kwa bashasha kubwa Makamu Mwenyekiti CHADEMA,Tanzania visiwani
    Credit;Mpekuzi blog

    0 comments:

    Post a Comment