Polisi nchini Ufaransa wameanzisha
operesheni dhidi ya magaidi kaskazini Magharibi mwa mji wa Paris
kufuatia taarifa za kukamatwa kwa mtuhumiwa aliyepanga mashambulizi ya
mjini Paris.
Katika msako huo Polisi nyumba ya ghorofa za eneo la Argenteuil kwa lengo la kusaka vilipuzi na silaha.Waziri wa mambo ya ndani Bernard Cazeneuve amesema mpango huo ulikuwa katika hatua ya juu ya utekelezaji wa shambilizi la kigaidi lakini jaribio hilo lilizimwa kwa kukamatwa kwa mtuhumiwa
Chanzo BBC Swahili.
0 comments:
Post a Comment