Sunday, 13 March 2016

Tagged Under:

AJALI: Basi la Leina Tours lapata ajali Kimara Bucha

By: Unknown On: 21:38
  • Share The Gag
  • Basi la Leina Tours lililokuwa likitokea Kahama kuja Dar es Salaam, limeacha njia na kutumbukia katika mtaro eneo la Kimara Bucha  usiku  wa kuamkia leo

    Idadi ya waliofariki haijafahamika  ila waliojeruhiwa ni zaidi ya 30 na walikimbizwa  Haospitali  ya  Mwananyamala na Muhimbili.
    ==
    Credit; Mpekuzi Blog

    0 comments:

    Post a Comment