Itakumbukwa
kuwa leo ( jana ) asubuhi tarehe 18 Aprili, 2016 Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alimteua Mheshimiwa
Mathias Meinrad Chikawe kuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan.
Tunapenda
kuwataarifu kuwa Balozi Mteule Mathias Meinrad Chikawe ataapishwa kesho
(Leo) tarehe 19 Aprili, 2016 saa 3:00 Asubuhi, Ikulu Jijini Dar es
salaam.
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es salaam
18 Aprili, 2016
Credit; Mpekuzi Blog
0 comments:
Post a Comment