Wakazi
wa Kata ya Karansi, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro wametoa uamuzi
kuwa wanawake watakaovaa sketi fupi na vijana watakaovalia suruali chini
ya kiuno, wataadhibiwa kwa kuchapwa viboko 60 hadi 70.
Uamuzi huo umefikiwa na wakazi zaidi ya 200 wakisema uvaaji huo ni kinyume na mila na desturi za Kiafrika.
Vazi lingine lisilotakiwa kwa wanawake ni kuvaa suruali pamoja na vijana kunyoa ndevu mitindo isiyofaa.
Mkutano
huo ulioandaliwa na wazee wa kimila jamii ya Meru (Wachili) na Wamasai
(Malaigwani), uliwavutia wananchi wengi ambao walihudhuria.
Sambamba
na uamuzi huo utakaokuwa unafanyika hadharani, pia adhabu hiyo
itawahusu wezi wa mali na wanaopenda kucheza pool table wakati wa kazi.
Kamanda
wa Polisi mkoani hapa, Wilbrod Mutafungwa alipinga uamuzi huo akisema
kwa maazimio hayo ya kuwaadhibu watuhumiwa kwa kuwachapa viboko ni
kujichukulia sheria mkononi na ni kinyume na sheria.
Credit; Mpekuzi Blog
KAMI SEKELUARGA MENGUCAPKAN BANYAK TERIMA KASIH ATAS BANTUANNYA MBAH , NOMOR YANG MBAH BERIKAN/ 4D SGP& HK SAYA DAPAT (350) JUTA ALHAMDULILLAH TEMBUS, SELURUH HUTANG2 SAYA SUDAH SAYA LUNAS DAN KAMI BISAH USAHA LAGI. JIKA ANDA INGIN SEPERTI SAYA HUB MBAH_PURO _085_342_734_904_ terima kasih.
ReplyDeleteKAMI SEKELUARGA MENGUCAPKAN BANYAK TERIMA KASIH ATAS BANTUANNYA MBAH , NOMOR YANG MBAH BERIKAN/ 4D SGP& HK SAYA DAPAT (350) JUTA ALHAMDULILLAH TEMBUS, SELURUH HUTANG2 SAYA SUDAH SAYA LUNAS DAN KAMI BISAH USAHA LAGI. JIKA ANDA INGIN SEPERTI SAYA HUB MBAH_PURO _085_342_734_904_ terima kasih.