Joseph Mbilinyi ameanza ku-trend kwenye mitandao ya kijamii kupitia
tangazo linaloonyesha atahojiwa na CloudsTV Ijumaa May 27 2016, ameanza
kutrend hata kabla Interview yenye haijaonyeshwa na hii ni kutokana na
sababu kadhaa ikiwemo ya kuwa hii ni Interview yake ya CloudsTV ya
kwanza toka amalize tofauti zake na CMG.
Mbunge huyu wa Mbeya mjini ambaye ni mmiliki wa single mpya ya Freedom aliipost hii picha kwenye page yake ya Instagram na kuonyesha wazi ameshaachana na tofauti zilizokuwepo na kwa roho safi maisha yanaendelea bila beef : ‘Rapper/MP/ CEO / AUTHOR / BUSINESSMAN /INVESTOR ni kesho asubuhi Freedom to all media, freedom from beefs’

Credit; UDAKU SPECIAL
0 comments:
Post a Comment