Mamlaka ya kukusanya kodi TRA kupitia madalali wa Yono Auction Mart
wamekusanya mali za bilioni 3 pamoja na kutaifisha mali za bilioni 10
kutoka kwa wafanyabiashara waliopitisha makontena 329 kupitia bandari
kavu ya Azam bila kulipa kodi na bado wanaendelea na msako bara na
visiwani.
Madalali hao wamesema watu walipe kodi na watoe risiti za elekroniki la sivyo mali zitakamatwa.
0 comments:
Post a Comment