Klabu ya soka ya Barcelona imetwaa kombe la Mfalme Hispania, maarufu kama Copa del Rey katika Fainali ya 114.
Wachezaji
Jordi Abba na Neymar ndio walio iwezesha Barcelona kutwaa taji hilo
katika Fainali iliyopigwa Jijini Madrid kwenye Uwanja wa Atletico Madrid
wa Estadio Vicente Calderon.Hii ni Fainali ya 37 ya kombe la kwa Barcelona huku Barca wakishinda mara ya 28 sasa.
Ikumbukwe Mwaka Jana, Barca walitwaa Kombe hili kwa kuifunga Athletic Bilbao 3-1.
Chanzo BBC.
0 comments:
Post a Comment