Mirror ameyasema hayo leo alipokuwa kwenye kipindi cha 5SELEKT
kinachorushwa na EATV, na kusema kuwa bado yupo kwenye kampuni hiyo,
ingawa hasimamiwi na Petit Man, ambaye alikuwa anamsimamia awali hapo
Endless Fame.
“Mimi bado niko Endless Fame ila sifanyi kazi na Petii, unajua Endless Fame ni kampuni kubwa inayofanya kazi za muziki, movie na wengine, kina Petii, Kina Martin Kadinda wapo pale, ila mi nipo Endless Fame”, alisema Mirror.
Pia Mirror amekanusha taarifa kuwa wasanii wengine Nuh Mziwanda na Nedy Music ambaye hivi karibuni alimuelezea Petii Man kuwa ni kama baba kwake kutokana na msaada anaompa, kujiunga na kampuni ya Endless Fame.
“Thats not true kwa sababu ratiba ya kampuni kama kuna msanii mwengine mimi nitaambiwa, kwa sababu hata mara ya kwanza alipokuwepo msanii mwingine nilitambulishwa huyu ni msanii mwenzako, kwa hiyo hiyo haina ukweli wowote”, alisema Mirror.
Pia Mirror amekanusha taarifa za kutumia madawa ya kulevya, na kukiri kutumia pombe na kuwa na marafiki wengi wa kike.
eatv.tv

0 comments:
Post a Comment