Sakata la Makontena: Polisi Kwa Kushirikiana na TRA Wakamata Makontena 9
Mpekuzi blog
Maofisa wa Jeshi la Polisi Dar es Salaam kwa kushirikiana na TRA, wanayashikilia
makontena 9
Mbezi Tanki Bovu baada ya kuyatilia shaka kuwa yalikuwa yanasafirishwa kinyememela usiku wa kumakia leo
Credit; Mpekuzi blog
0 comments:
Post a Comment