Katika Ukurasa Wake wa Facebook Lowassa ameandika Haya Kuhusu Kifo cha Mwenyekiti wa Chademe Mkoani Geita:
"Nimeshtushwa
na kusikitishwa na taarifa za msiba wa kijana wetu Alphonce Mawazo,
Natoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki pamoja na familia yetu ya UKAWA.Hakika tumeondokewa na mpiganaji."
Credit; Mpekuzi blog
0 comments:
Post a Comment