Saturday, 14 November 2015

Tagged Under:

Pigo CHADEMA: Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita Auawa kwa Kukatwa Mapanga

By: Unknown On: 09:22
  • Share The Gag



  • Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo ameuawa leo mjini Katoro baada ya kushambuliwa kwa mapanga na shoka na kumjeruhi vibaya sehemu mbalimali za mwili wake hasa kichwani wakati akifanya kampeni za kumnadi diwani wake

    Mawazo aliyewahi pia kuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Arusha amefariki dunia akiwa hospitalini alipokimbizwa katika jitihada za kujaribu kuokoa maisha yake. Mganga Mkuu Geita amethibitisha.
    Credit; Mpekuzi blog

    0 comments:

    Post a Comment