TAZAMA Shoga Alivyoojiwa na Zamaradi Katika Kipindi cha Take One Jana Usiku....Adai Anatamani Abebe Mimba Azae
Sijui nianzaje ila dunia imeisha,
Zamaradi anamuhoji shoga anaitwa Kaoge,
Pamoja ni ngumu kuaangalia ila kunafunzo la kujifunza kwa kinji watoto wetu wa kiume tunavoweza kuwalea watoto wetu.
Mashoga wanaongezeka kwa kua waaribifu ni wengi na wengi ni watu wazito.
Shoga anatamani kuzaa anataka kupandikiza na yupo kwenye harakati za kubeba mimba
Alikua anaitwa mwanamke tangu mdogo na baba yake na mitaani alikua
anaitwa gody ka demu,
Kiukweli wanaume tusifumbie macho ili swala malezi ya karibu zaidi tangu
utoto ndio tunaweza kupiga vita USHOGA. Na si matusi kipigo na
unyanyapaaji
0 comments:
Post a Comment