Papa Francis amewataka Wakatoliki
Duniani kuwaomba radhi watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kwa
madai kuwa si haki kuwahukumu na kuwachukulia kinyume kwani kanisa
halina mamlaka ya kuwahukumu.
Akizungumza na waandishi wa habari
ndani ya ndege wakati akirejea kutoka Armenia,Papa Francis kanisa pia
linapswa kuwaomba makundi mengine ambayo yametengwa kama vile
wanawake,masikini na watoto ambao wapo katika ajira hatarishi. Hata
hivyo baadhi ya wakatoliki wenye msimamo mkali wamepinga hatua yake ya
kuwazungumzia watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.Chanzo BBC.
0 comments:
Post a Comment