Monday, 20 June 2016

Tagged Under:

Kugomea Vikao Vya Bunge Sio Suluhisho Kwa Matatizo Ya Mwananchi Aliyekuchagua

By: Unknown On: 23:16
  • Share The Gag

  • Wabunge Wa UKAWA Wamekua Na Desturi Ya Kutoka Nje Ya Bunge Wakisingizia Kunyanyaswa Na Naibu Spika Jambo Ambalo Si La Kweli, Kwanza Wao Ndio Chanzo Cha Vurugu, Wanaomba Muongozo Kwa Jazba, Wanazomea Kama Watoto Na Kufanya Vurugu Zisizo Na Tija. Asante Genius Tulia Kwa Kuwaondoa Hawa Watu.

    Naomba Serikali Izuie Mikutano Yao Kwani Muda Huu Si Wakufanya Siasa, Wasubiri 2020 Kampeni Zitakapoanza.

    Huu Ni Muda Wakujenga Nchi Upya Hatutaki Siasa Mikutanoni, Siasa Tumeshamaliza 2015..

    Credit; UDAKU SPECIAL

    0 comments:

    Post a Comment