Israel na Uturuki wanatarajiwa leo kutia sahihi mapatano yanayonuia kumaliza uhasama kati ya mataifa hayo mawili.
Uhusiano
wa karibu baina ya mataifa hayo uliharibika miaka sita iliyopita wakati
wanamaji wa Israeli waliposhambulia meli ya Wanaharakati wa Uturuki
waliokuwa wakipeleka msaada wa vyakula na madawa huko Palestina kwenye
ukingo wa Gaza na kuwaua 10 kati yao.Maafisa kutoka mataifa hayo mawili wanasema kuwa mapatano yameafikiwa kumaliza uhasama huo.
Uhusiano umeimarika tangu Waziri Mkuu wa Israil, Benjamin Netanyahu na mwenzake wa Uturuki Recep Tayyip kuwasiliana kwa simu mwaka wa 2013, kabla ya mashauriano kuanza na yameimarika kwa miezi michache iliyopita.
Miongoni mwa hatua za kwanza itakuwa kuwarudisha mabalozi wa mataifa hayo waliorejeshwa nyumbani baada ya meli ya wakereketwa wa Uturuki waliokuwa wakisafirisha chakula kuwapelekea Wapalestina kushambuliwa na Israel.
Aidha baadhi ya mapendekezo ni Israeli kuomba msamaha kwa uturuki na kisha kufidia wanaharakati waliouawa.
Chanzo BBC.
KAMI SEKELUARGA MENGUCAPKAN BANYAK TERIMA KASIH ATAS BANTUANNYA MBAH , NOMOR YANG MBAH BERIKAN/ 4D SGP& HK SAYA DAPAT (350) JUTA ALHAMDULILLAH TEMBUS, SELURUH HUTANG2 SAYA SUDAH SAYA LUNAS DAN KAMI BISAH USAHA LAGI. JIKA ANDA INGIN SEPERTI SAYA HUB MBAH_PURO _085_342_734_904_ terima kasih.
ReplyDeleteKAMI SEKELUARGA MENGUCAPKAN BANYAK TERIMA KASIH ATAS BANTUANNYA MBAH , NOMOR YANG MBAH BERIKAN/ 4D SGP& HK SAYA DAPAT (350) JUTA ALHAMDULILLAH TEMBUS, SELURUH HUTANG2 SAYA SUDAH SAYA LUNAS DAN KAMI BISAH USAHA LAGI. JIKA ANDA INGIN SEPERTI SAYA HUB MBAH_PURO _085_342_734_904_ terima kasih.