Mgombea anayepewa
nafasi kubwa ya kupeperusha bendera ya Republican katika kinyanganyiro
cha urais huko Marekani Donald Trump amesema muda umefika kwa nchi hiyo
kutafakari kwa kina juu ya matumizi ya taarifa binafsi za watu katika
harakati za kupambana na uhalifu.
Ameongeza kusema kwamba nchi zingine zimetumia mbinu tata za rangi ya mtu , dini, utaifa au ukabila kama mbinu ya kutambua nani anaweza kufanya uhalifu.
Chanzo BBC.
0 comments:
Post a Comment