Mtazame
hapo chini Mbunge Nape akiamriwa kurudi ndani ya gari mara tu alipofika
katika Hoteli ya Protea kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari.
Rais Magufuli leo ametengua uteuzi wa Nape na Kumteua Mwakyembe kuchukua nafasi hiyo.
==>Tazama video hapo chini
Creted; Mpekuzi Blog
0 comments:
Post a Comment