Baadaye
Nape Nnauye alitoa taarifa kuwa atazungumza na waandishi wa habari
lakini Meneja wa Hotel ambayo mkutano ulitakiwa ufanyike alisema
ameagizwa kuwaambia waandishi watawanyike na hakutakuwa na mkutano.
Saa chache baadae Nape Nnauye alifika eneo hilo lakini alizuiwa na askari huku wakimrudisha ndani ya gari.
Katika
sakata hilo, Askari mmoja aliamua kutoa bastola na kuielekeza kwa Nape.
Msanii Harmorapa alikuwepo jirani na Nape wakati tukio hilo
likitokea...
==>Mshuhudie hapo chini alivyotimua mbio baada ya bastola kutolewa
Creted Mpekuzi Blog
0 comments:
Post a Comment