Maelfu ya
waombolezaji walijitokeza kuadhimisha misa ya wafu kwa heshima ya
mwanamuziki nyota wa muziki wa Soukus na Rhumba raia wa Jamhuri ya Congo
Papa Wemba.
Waomboloezaji walipiga foleni ilikupata fursa ya
kutoa heshima zao za mwisho kwa msanii huyo nguli aliyeaga dunia juma
lililopita alipokuwa akiwatumbuiza mashabiki wake huko Abidjan Ivory
Coast.Mwili wake umewekwa katika majengo ya bunge mjini Kinshasa.
Serikali imetangaza siku tatu za maombolezi kuanzia leo hadi jumatano atakapozikwa.
- Maelfu watarajiwa kujitokeza kumuaga Papa Wemba
- Faly Ipupa na mashabiki waulaki mwili wa Papa Wemba
- Historia ya Papa Wemba
Wengi waliitambua sauti hiyo ya na utunzi wake.
Alikuwa ni mtumbuizaji kamili.
Wengi waliitambua sauti hiyo ya na utunzi wake.
Alikuwa ni mtumbuizaji kamili.
Jina lake halisi ni Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba.
Yeye alianza kazi ya muziki akiwa na umri mdogo mno.
Mfalme huyo wa muziki wa Rhumba, mwenye umri wa miaka 66 aliaga dunia ghafla 24 April akiwa nchini Ivory Coast .
Chanzo Habarileo.




0 comments:
Post a Comment